Scroll to Top

#indundi | Mwanamziki wa Kwanza afrika mashariki mwenye bidi anatoka inchini Burundi

By KING YANN COOL / Published on Tuesday, 03 May 2016 12:36 PM / /

Mwanamziki mwenye bidi kuzidi wengine afrika mashariki anatoka inchini Burundi, akiongea Issa Jamal kwenye Celebrities Show uko inchini Rwanda.

MasterLand

Yoya Jamal akiongea na Mtangazaji kutoka uko Rwanda anae julikana kama Lucky, amehakikisha kama mwanamziki wa kwanza afrika mashariki Mwenye bidi kuzidi wengine anatoka inchini Burundi.

11038384_835501899856185_1555292498006839578_o

 

Mwanamziki huo kwa sasa anaongelea Huko inchini wingereza(Yoya) amesema kama huo Mwanamziki ana mipango yenye level ya Juu na istoshi ni mwanamziki akikuelezea mipangilio yake huwezi kubali kama ni yeye.

Yoya huo akiulizwa jina lake ametaja kama ni Happy Famba Mkali wa Show.

99 total views, 0 views today

Add Comment