Scroll to Top

#indundi | Diamond Baba Mkwe wa Jackline Wolper

By KING YANN COOL / Published on Wednesday, 01 Jun 2016 05:29 AM / /

wolper and diamond

Jackline wolper anampango wa kufanya filamu na mpenzi wake wa zamani Platnumz kwa sasa akiwa baba mkwe wake.

MasterLand

Jackline wolper akiongea kuusu uhusiane wake na Harmonize kwenye kipindi Take one, amesema kama Platnumz Bose wa mpenzi wake Hamonize anamcukulia kama Baba Mwekwe.

Kwa maongezi hao muigizadji huo amesema kama ana mpango kufanya filamu na yeye ijapo ni mpenzi wake wa zamani ila kwa sasa anashika kama lafiki wake wa karibu.

Wolper akongea kwenye Tv
Wolper akongea kwenye Tv

Wolper alimarizia akiongea kama uhusiano wake na Harmonize ulibalikia na Baba mkwe wake, uwo akimtaja kama rafiki wa karibu sana wa mpezi wake.

137 total views, 0 views today

Add Comment