Home homepage Ndayishimiye Lucien: Filamu naipenda sana ila kuna wasanii wengi wana kiburi...

Ndayishimiye Lucien: Filamu naipenda sana ila kuna wasanii wengi wana kiburi ndo chanzo cha kushindwa kwetu

Muigizaji wa filamu nchini Burundi NDAYISMIYE LUCIEN ameweza kushiriki kwenye kazi nyingi sana za filamu apa Burundi pia na comedy apo ni baada ya miaka mi wili hayupo Burundi akiwa nchini south Africa kwa lengo lakutafuta maendeleo kwaa kiasi kikubwa ,na baadae kufika nchini Burundi na kusema kwamba chanzo cha wasanii kutoendelea kiburi kinachangia na hapo ndipo tumemuuliza inatokana na nini, alisema

NDAYISHIMIYE LUCIEN:

“Kwanza mimi kutoka kwangu Burundi kumenifunza mambo mengi sana na kutoka kwangu sio kusema kwamba nimeenda ki biashara hapana bali imekuwa kujifunzaa pia ni jinsi gani tunaweza kubadili tasnia yetu na kubwa zaidi nimeona kwamba kinacho sababisha sisi kushindwa ni kwasababu sisi wasanii hatusikiani zaidi yakuoneshana zarau tu kumbe iyo inachangia kuanguka kwa tasnia yetu ,ila kikubwa zaidi nilipo rudi nyumbani nakuta kweli watu wamejitaidi kwa kuandaa filamu ila naomba wasanii wenzangu tujitaidi kusapotiana na sio kipesa tu ata kushauriana inatosha ,pia jambo moja watu wanaweza jiuliza kwamba baada ya apa nini inaendelea upande wangu neno moja tu ni kwamba wasubiri kazi zangu mpya na zenye mshangao mkubwa sana maana tutafanya kama jinsi tulivyo ahidiana kwamba mwaka huu ni mwaka wamabadiliko. Pia tunaitaji sapoti zakutosha upande wote kuanza kwa serekali yetu pili kwa washabiki wetu na kitu kingine tunaitaji watangazaji wetu wajitume sana upande wa filamu na wasibaki tu kuinuwa music.”

Alimaliza ivo kwa maoni yake…

Burundi ni nchi ambayo pia inaendelea kwa kufanya kazi za filamu kama zilivyo inchi zingine zenye maendeleo kumbe kinacho takiwa nikusaidia vijana wetu ili waweze kufika mbali zaidi maana ukitazama leo Tanzania ni inchi iliyo piga hatuwa kubwa sana kwa upande wa sanaa inamaanisha kwamba pia na Burundi inawezekana kabisa ikiwa watapewa nafasi yakuweza kufanya kazi zao.

Weka maoni yako…

Facebook Comments

Most Popular

Urwevu: Rumwe mu mpfunguruzo zugurura uturyango tw’ivyumba biri mu bwonko.

Mu bwonko bwawe rero niho urukiza rwawe ruri. Ubutare, amafaranga eka n'ibindi vyose wifuza biri mu vyumba bigize ubwonko bwawe. Mu gitabo canditswe na Napoleon...

Flambeau de la paix y’i Gitega ivugishije benshi

Inyuma yaho Big Fizzo yerekaniye akababaro kiwe, akoresheje aya majambo ati :" Tuzoteza imbere gute umuziki ndundi iyo igikorwa c'igihugu c'uburundi nka flambeau de...

# Indundi Sports | Eric Kirungo yatanguye kuronderwa n’imigwi yo mu Rwanda

Umukinyi wo hagati w'umugwi Olympic Star Kwizera Eric Kirungo atanguye kuronderwa n'imigwi yo mu gihugu c'Urwanda inyuma yo gutsinda igitsindo ciza cane ku ndwi...

# Indundi Sports| Ngaba abakinyi ba kera igihangange Maradona cemera gusumba abandi

  Umukinyi wa kera wa Vital'o Fc Nduwayo Stanley batazira Maradona yavuze abakinyi yigeze kuba yemera mugihe yari akiri umukinyi. Uwo mukukuruke yabiciye bigacika muriyo myaka...

Facebook Comments