Scroll to Top

#indundi Tzt | Pamejulikana anaye muhudumia kati ya baba yake na mama yake

By KING YANN COOL / Published on Friday, 26 Aug 2016 05:13 AM / /

 

Mama yake Nasibu Abdoul akijulikana sana kama Diamond Platnumz akizungumza na Televisheni AYO TV ameongea kama wanawo ongea kama Nasibu hatunzi ama hajali baba yake mzazi ua wanasema uongo kwakua kila mwisho wa mwezi anatuma kiwango furani ca pesa kwa baba yake.

Bibi yake Tiffah ameongea tana kama hio pesa Diamond anaotuma kwa baba yake mala nyingi inapelekwa na yeye mwenyewe au Queen Darling.

Mama Damond amemaliza akiongea kama anashanga sana Magazeti wakisema kama Damond anamjali mama yake lakini baba yake anamtupia.

1,341 total views, 0 views today

Add Comment