Scroll to Top

#indundi| Tz | Diamond na Rayvany wakirudilia nyimbo ya Saida Kaori

By KING YANN COOL / Published on Sunday, 18 Sep 2016 12:39 PM / /

14358919_1205950399426772_1626595264686933612_n

Siko ya leo mwanamziki kutoka Tz akia baba wa Tiffat akishirikiana na mwaamziki Raymond wametoa bonge la nyimbo inakuja kwa jina Salome. Wametoa version 2 ikia ya Club na Traditional tena, na Nyimbo yenyewe imetoka na Video.

Ukisikiliza nyimbo hio, unasiki ndani nyimbo  ya mwanamziki Saida karori ilikua Hit  mwaka wa 2002 uko Tz na Afica mshariki pote. Hakuna habari yoyote imesha tangazwa kua hana Lisence ya hio nyimbo au la. Ila ukiangalia Background ya Hit Maker huu hawezi fanya kituu hico.

Nyimbo hio inatoka nyuma ya week 3 WCB ikitoa videoya wimbo  Natafuta kiki wa huo huo mwanamziki.

211 total views, 0 views today

Add Comment