Scroll to Top

#indundi movies | Tambwe anapanga kufanya filamu na Jay Fire , Divine “Queen Video”

By king epimax / Published on Tuesday, 27 Sep 2016 10:24 AM / /
MasterLand
movies

Tambwe anaomba msaada kwa kila anaweza saidia ili Filamu anatarajia kutengeneza itoka kwa usalama. Filamu hiyo itakuemo waigizaji kama Jay Fire akijulikana kama Muimbaji na Divine wengi wakimjua kama Queen Video.

Tambwe akiongea na Indundi Magazine amesema kama Filamu hio iya Surprise watu wengi, wakimo wandani na Inje ya Inchi. Lakini hata kama kuna maandalizi wanajitaidi amesema kama kukosekana kwa management kumepunguza mambo mengi. Kwa sasa anaomba kila anaweza kumu Support amsaidie ili Filamu itoke.

Tambwe akaacha Number ya Sim ikiwa +25775311816 akasema tena kama iko na WhatsApp kwa kila anaweza Msaidia kwa kila jambo. Mkumbuke kama Filamu yake ya mwisho ni AKABI KABISHE, na Kuna Filamu amatengeneza pakiwemo Muimbaji Mkombozi

160 total views, 0 views today

Categories : homepage swahili
Tagged as:

Add Comment