Scroll to Top

#Indundi movies| ”Kijiji cha uchawi” ni filamu nyipya kutoka The Kings Club

By La Rédaction / Published on Wednesday, 19 Oct 2016 03:14 AM / /

kijiji-cha-uchawi-film

Vijana machachali wanaoshirikia katika kundi la wafalme lichezalo filamu ”The Kings Club” kutoka Rumonge hawalali ata kama wanalala, hawasinzii.

Baada ya kuweka hadharani filamu mbili zilizowatesa saana ma funs wa filamu ”Alaumiwe nani” pamoja na ”Es’iyomenya”, waliamuwa kuteng’neza kwa utalaam fulani filamu nyingine nyipya  ya kusisimuwa iitwayo ”Kijiji cha Uchawi”.

Ni fiction filamu ambao inatoa mafunzo kuusu mambo ya kichawi.

Mtapakuta wasanii mahir kama Mzee Misisir, NKESHIMANA Donatien, MUNEZERO Emelyne,  Haslah Da Silva, Henri Prince Miron, pamoja na Ramadhan na imeteng’nezwa na Gomo Production.

Msikosee!!! Iko madukani!!!

209 total views, 0 views today

Add Comment