Scroll to Top

#Indundi Sports| Denis Kadito, Wakala wa Abdoulazak Fiston aongelea kuhusu mpira wa Burundi.[Interview]

By Alain Muhirwe / Published on Monday, 07 Nov 2016 06:34 AM / /

  img-20161106-wa0023Denis Kadito ambaye anamsimamia kimaisha ya mpira, mshambuliaji wa hapa nchini Fiston Abdoulazak, yuko hapa Burundi kuendelea na kazi yake ya kusaka vipaji vipya ili avitafutie soko nje ya taifa letu.

” Kilicho nileta huku Burundi, nilikuwa hapa kwa mualiko wa team ya Aigle noir ambayo inataka niwe manager wa team ili nisimamie masilahi ya team na wachezaji wa team”

Tulijaribu kumsogelea tukamuuliza maswali mengi kuhusu , na akatujulisha mawili matatu kuhusu safari yake :

 

 

 

151 total views, 0 views today

Tagged as:

Add Comment