;
Scroll to Top

#Burundi Diaspora | Interview with KISWAHILI HALAQAH Leaders Sheihk[Karorero Khalid, Omari Ngarigari, Salum Daud]

By admin / Published on Sunday, 25 Dec 2016 10:47 AM / No Comments / 953 views

Interview with Sheihk[Karorero Khalid, Omari Ngarigari, Salum Daud]
Kiswahili Halaqah malengo yake makubwa ya kuasisiwa ni kujihusisha na kutangaza ujumbe sahihi wa Kiislam kama alivyo kuja nawo Mtume Muhamad (SAW) kisha Waja Wema Walio Tangulia.

Muono wetu kunako jambo hili la kheri ni kutengeneza mfumo ambao unaweza ukaleta jamii za Kiislamu pamoja kisha kuzisafisha nyoyo kupitia da’wa ambao ndio sabuni ya mioyo, pia na kujibu maswali mbali mbali kutoka kwa masheikh tofauti duniani.

182 total views, 0 views today

Categories : Diaspora homepage swahili