Scroll to Top

Chozi la Mama ni filamu khali ambao huwezi kosea

By Janvier Nzokurigomba / Published on Tuesday, 22 Aug 2017 19:20 PM / /

Vijana machachali wanaoshirikia katika kundi “Tambwe the Great Films” kutoka Burundi, wamewaletea kibao kinachosisimuwa kiitwacho “chozi la Mama”.

Kiufupi, chozi la Mama ni filamu ambao storia yake inaomlenga baba mmoja na kumuacha mkewe kijijini kwelekea mjini kusaka maisha. Kufika mjini, baba yule kaambatana na mwanamke mwingine na kumpa nimba, ila baba mwenzetu alikuwa na hamu ya kupata mtoto wa kike na ndio maana akili ya nyumba pili kaitumia kumleta mkewe wa kwanza alieachia vichocholoni ili aje kuzalia mjini.

Badala ya kujifunguwa watoto tofauti, nyumba pili kacheza mchezo mbaya na doctor na kubadilisha watoto hao.

Msikosee kufatilia filamu hii ” chozi la Mama part 1&2” kupitia Nihotv.com ili mjuwe kilichotokea.

2,424 total views, 0 views today

Add Comment