Scroll to Top

EAC Military Games: Mashabiki wa Tanzania wajivunia ushindi wa Jeshi lao. [Audio]

By Alain Muhirwe / Published on Friday, 01 Sep 2017 01:27 AM / /

Burundi sasa hivi ni mwenyeji wa mashindano ya  kumi na moja ya kijeshi, ambayo yanazikutanisha timu kutoka nchi za Afrika Mashariki, ikiwemo Burundi, Tanzania, Kenya na Uganda.

Hapo jana tarehe ya therathini Ogasti, ilikuwa ni mechi ya mupira wa miguu, ikizipambanisha ya jeshi la Burundi  timu ya Burundi kwa maarufu Muzinga na timu ya jeshi la Tanzania. Mechi ambayo ilimalizika kwa ushindi wa Tanzania wa bao mbili, Burundi wenyeji wakilizika na bao limoja.

Mechi hiyo ilipomalizika mashabiki wa Tanzania walionesha upendo kwa timu yao paka kuhakikisha watatwaa kombe hili kwenye hiyi michezo ya kikanda kwa majeshi.

Huyu ni shabiki mmoja miongoni mwa wale walikuwa wamejifikia kwenye uwanja wa mwana mfalume Roius Rwagasore, alionesha furaha tele. Msikilize hapa:

2,934 total views, 0 views today

Add Comment