Scroll to Top

Mnafiki (An-namim), filamu ambao huwezi kusea

By Janvier Nzokurigomba / Published on Sunday, 17 Sep 2017 00:58 AM / /

MNAFIKI au “AN-NAMIM” kwa kiarabu ni filamu nyipya ambao huwezi kosea ilioteng’nezwa kwa ufundi fulani na watalaamu waigizaji kutoka Burundi.

Kiufupi, filamu ”AN-NAMIM au MNAFIKI” inatowa mafunzo kuusu unafiki katika familiya kwa kuonyesha jinsi gani familiya ya ABDUL MADJIDI iliweza kukumbwa na mithani kadha baada ya kupata mgeni ndani kwake hadi familiya yake kusambaratika pia na mke wa Sheikh ABDUL MADJIDI kuaga dunia kisa unafiki.

”AN-NAMIM au MNAFIKI” iliteng’nezwa na MH Company pia unaweza kuta waigizaji kama NZEYIMANA Madjaliwa (Producer & Director),  MASEMO MUSSA (Manager), Ngendakumana HUSSEIN (Cameraman) na wengineo.

Fatilia kisasi hiki ili ujuwe yaliotokea kupitia http://Nihotv.com.

12,102 total views, 0 views today

Add Comment