Scroll to Top

BILALI, filamu khari kutoka kundi la Madrassa Tul Kher

By Janvier Nzokurigomba / Published on Wednesday, 25 Oct 2017 08:19 AM / /

Baada ya kuweka hewani filamu ”Haki yangu” iliowatesa sana ma funs wa Burundi movies, kundi la ”Madrassa Tul Kher” kushirikiana na ”BLUE OX Studio” wamewaandalia ingine filamu ambao huwezi kosea iitwao “Bilali”.

Kiufupi, filamu “Bilali” inazungmuza kuusu muigizaji mmoja ambao alikuwa anapenda sana kumtukuza mwenyezi Mungu ila kakutana na vikwazo tofauti hata akaanza kujiuliza kipi alichomkosea mwenyezi Mungu kisa kaanza fikilia kupitia kwenye njia zisizokuwa nzuri. Kwa bahati nzuri, ndugu yake akamufariji na kumuonyesha kwamba kila binadamu hapa duniani huwa anapitia kwenye majaribu tofauti ila kusimama imara katika majaribu hao ndio lahisi zaidi.

Filamu hio iliteng’nezwa na Hamza Mahane “Bilali”, Said Salim alikuwa kama Editor, Sued Hamissi kwa upande wa sanamu alafu Imidi Niyonzima kasaidia kuweka ndani mziki.

Kuangalia bule filamu hio hata na filamu nyingine zilizochezwa na warundi, unaweza pitia kwenye tovuti http://nihotv.com

8,450 total views, 0 views today

Add Comment