Scroll to Top

Haki yangu ni filamu mpya kutoka kundi la Madrassa Tul Kher

By Janvier Nzokurigomba / Published on Monday, 23 Oct 2017 05:08 AM / /

Kundi lichelo mafilamu ”Madrassa Tul Kher” kushirikiana na BLUE OX STUDIO wameweka hadharani filamu mpya iliozinduliwa mala ya kwanza tarehe 15 oktoba mwaka huu kwenye ukumbi mkubwa wa Markaz, Bujumbura Burundi.

Filamu hio iliitwa ”Haki yangu” na inazungmuzia kuusu familia yenye mali, ila mali hizo zikawa chanzo cha kutofautiana baina yao ma brothers and sisters, huku HAMZA akaonekana kama kichaa na kukimbizwa na watoto barabarani. Ila kwa upole na utaratibu fulani, Hamza aliweza kurudisha kwenye foreni kila kitu katika familia yake ila wakubwa wake waliosababisha yote yaliotokea walikamatwa na asakari wakaperekwa gerezani na kukatiwa kifungo cha maisha yao.

Filamu ”Haki yangu part 1&2” iliteng’nezwa na Hamza Mahane akishirikiana na Saidi Salim, RUBUNGENGA Espoir Issa aliwasaidia mambo ya location pamoja na Baby-Hassan kwa upande wa “Make up”.

Baadhi ya wachezaji katika filamu hio kuna Omari Habonimana, Hamza, Mahane, Shabani Khamisi na wengine,

Filamu hii hata na filamu nyingine zilizochezwa na warundi unaweza zicheki kupitia mtandao wa internet kwenye http://nihotv.com

4,263 total views, 0 views today

Add Comment