Scroll to Top

#Indundi Cinema| Kundi la B.S.W wamewaletea filamu ya kusisimua “Bahati ya Bahari”

By Janvier Nzokurigomba / Published on Wednesday, 08 Nov 2017 09:16 AM / /

Kundi la B.S.W (”Burundi Strong Winners”  kwa urefu) kutoka Rumonge wamewaandalia filamu mpya tena kari inaoitwa ”Zawadi ya Bahari”.

Zawadi ya Bahari ni filamu ya kimapenzi ilioleta mizozo katika familiya ya mwanamke aliependwa na mvurana anaejulikana kama Dany (Nyandwi Shaban).

”Je, kwa nini wema hugeuka waduwi? Maisha ni nini na bahati ni kitu gani?

Binadamu tunabadilishwa na jamii inaogeuka na kutugeuza hata tukashindwa kutenda mema au kutowa msaada kwa kuwa hata yule ambae ulikuwa unategemea anakusaliti.

Ndivio iliviomtokea Mr Dany badala ya kuzawadiwa na Bahari, kitu alichokuwa anategemea kwamba kinaweza mletea furaha na faraja yeye, mama yake hata na familiya kwa ujumla kikageuka majonzi.”

Hayo ni baadhi ya maneno Mr Dany aliojiuliza kwa kutokana na mambo yaliomtokea badala ya  kupata bahati kutoka baharini alafu kanyanyaswa na familiya ya mpenzi wake.

Filamu hii ”Bahati ya Bahari” iliteng’nezwa na Paradise Media Production ikishilikiana na Sunrise Films. Ilichezwa na wasani tofauti kama Shaban Nyandwi (Principal actress), Justin D. (Director), Henri Ndayisaba (Editor) na wengine.

Kama wewe ni shabiki wa filamu za Burundi unaweza zicheki kupitia tovuti http://nihotv.com

4,161 total views, 0 views today

Add Comment