Scroll to Top

Ni kipi Mr Tambwe (Mr Comedylogy) alikuwa anawaandalia?

By Janvier Nzokurigomba / Published on Tuesday, 14 Nov 2017 12:30 PM / /

Baada ya mda mrefu sana kukaa kimya kwa Mr COMEDYLLOGY Sasa amerudi tena kwenye game kwa speed kubwa nakuitaji kufikisha mbali nchi ya Burundi na kuitambulisha ki sanaa na sio kwa ilo tena pia ni muigaziji wa filmu na mkurugenzi wa company yake binafsi ihitwayo TAMBWE THE GREAT FILMS na kwa Sasa anatumika na kijana mwenye elimu ya filamu ambae ni muandishi na mtunzi wa filamu nchini Tanzania anaejulikana kwa jina la SINBAD.

Ndoto za Mr Tambwe ao umuite Mr Comedylogy ni kwamba kuakikisha wanawatambuwa warundi kama wanauwezo mkubwa wakuigiza, ila kijana Tambwe anapigania kuleta eshima kwenye nchi yake kupitia sanaa je ni nini anacho kiandaa, ila anacho lilia ni kupata manager ao sponsor yenye uwezo na kwa Sasa anafanya comedy business yaani ukiwa na vitu unavyotaka vijulikane mfano biashara, Company, website, TV online, Music  na kadharika karibu Tambwe anafanya bila shida yoyite.

Kwa mawasiliano zaidi, unaweza pitia kwenye +25775311816 (WhatsApp) au Facebook : Tambwe Remy

3,361 total views, 0 views today

Add Comment