Scroll to Top

Filamu “Kijiji cha uchawi part 2 in 1” kuwekwa hadharani mwezi ujao

By Janvier Nzokurigomba / Published on Monday, 25 Dec 2017 03:22 AM / /

The Kings Club kutoka Rumonge wanatangaza kuwa part 2 in 1 ya filamu kari “kijiji cha uchawi” itawekwa hadharani mwezi ujao wa januari 2018.

Filamu hio imeteng’nezwa na Gomo production pamoja na editor J KF. Ilichezwa na wasani maalum kama MSAMALIA Daniel, Emelyne Munezero, Ndikumana Assoumani, Henri Prince, Nkeshimana Donatien, na kadharika.

Kama walivyosema, wana the Kings wanatemegea kuzindulia filamu hiyo “Kijiji cha uchawi part 2 in 1” tarehe 6 mwezi januari mwaka 2018.

Filamu zilizochezwa na warundi mnaweza ziangalia bule mtandaoni kupitia tovuti www.nihotv.com.

1,939 total views, 0 views today

Add Comment