Scroll to Top

Nini Mr Comedylogy anacho andaa kwa sasa?

By La Rédaction / Published on Saturday, 06 Jan 2018 00:29 AM / /

Baada ya Mr Tambwe anaye tamba kwa sasa kwa jina la Mr Comedylogy kwa Comedies anazo zifanya ameweza kujipatia Certificat de Merite kuwa Best Comedian wa mwaka 2017 kwa Tunzo zilizotolewa na ”Soft Media Company”.

Tulivyo weza kuongea naye ametuambia kuwa yeye kwasasa anatumika bila Management yoyote ila anashukuru sana kuona kazi zake zinapendwa na watu, ivi yuko na project ya kufanya Comedy hamsini (50) kwa miezi mi nne nakuziachia kwa watu maana yuko na kitu kikubwa anacho andaa mwezi wa nne ila bado ingali siri yake.

Na ameweza kuongea tena anaitaji sapoti yakueneya (Management ao Sponsor) yenye uwezo ili aweze kufanya mambo makubwa zaidi ya apa kwa iyo anacho kiomba kwa warundi wenzake matajiri wa nchi na walio nje ya nchi kumsapoti ili atimize iyo project yake.

Basi kwa mawasiliano yake
+257 75311816
Facebook : Tambwe Remy

6,804 total views, 0 views today

Tagged as:

Add Comment