Scroll to Top

Mr Masaki, new movie kutoka Tambwe the Great Films

By Janvier Nzokurigomba / Published on Thursday, 18 Jan 2018 03:56 AM / /

Baada ya kukaa kimya muda mrefu, Mr Tambwe au Mr Comedylogy kwa jina lake la vichekesho pamoja na team yake TGF (Tambwe the Great Films) wanaandaa new movie ”Mr MASAKI”.

Akiongea na indundi magazine, Mr Tambwe au Mr Comedylogy alisema kwamba movie hio itakuwa tofauti na movies zingine alishatunga kwa mix ya vichekesho na mafunzi fulani ya kimapenzi. Mr Masaki movie itakuwa chrono yaani itakuwa na ma ”episodes” au ”series” na hii itakuwa episode ya kwanza kama alivyo tamka Mr Tambwe.

Mr Tambwe alisema hivi Imani hufanya mambo yote yawezekane na matumaini hufufua yalio poteza uhai lakini mapenzi hufanya mambo yote yaonekane mazuri. Tambuwa kuwa ulimwengu tunao uhishi unamambo muhimu matatu Jambo la kwanza ni kupata umpendae la pili ni kumpata atakaye kupenda na la tatu ambalo ni kubwa kuliko yote ni kwa jambo la kwanza na la pili kuungana pamoja”.

6,834 total views, 0 views today

Add Comment