Scroll to Top

Tambwe anaomba msaada wa kumpigia kura katika mashindano ya Sinema zetu international Festival

By Janvier Nzokurigomba / Published on Friday, 16 Mar 2018 02:04 AM / /

Muigizaji wa filamu za Burundi na vichekesho Tambwe Remy anaomba msaada wa kumpigia kura katika mashindano ya sinema zetu international festival nchini Tanzania ili aweze kuwa mshinda.

Kama aliviotuleza, filamu yake “CHOZI LA MAMA” ilichaguliwa kuwa baadhi ya filamu nyingine katika mashindano hao na sapoti yako inaweza kumfanya mshindi katika mashindano hao haswa kapata award.

“Kwa kila siku inahitajika kura yako moja tu kwa Filamu yangu. Nina Filamu yangu ya CHOZI LA MAMA kwenye Mashindano hao hivyo kila mmoja inahitaji Kura moja kwa siku”, alivio tuambia Mr Tambwe.

Kumpigia kula unatuma ujumbe wa kawaida ukianzisha neno NDIO 131 kwenda namba ya simu +255757 339 567.  (Andika neno : NDIO 131 Kisha tuma kwenda +255 757 339 567).

Please tusaidiane kuinuwa filamu za Burundi na kuzitangaza kimataifa.

KUNABAKI SIKU 16 TU !!!

6,675 total views, 0 views today

Add Comment