Scroll to Top

Mr Masaki movie episode 1 kwa sasa ipo madukani

By Janvier Nzokurigomba / Published on Monday, 26 Mar 2018 11:48 AM / /

Mr Masaki episode ya 1 kwa sasa ipo madukani kama Mr Tambwe aliviokubali ma fans wa Burundi movies.

Akiongea na indundi magazine Mr Tambwe au Mr comedylogy kwa jina lake la vichekesho alisema kwamba hatakaa badala ya kuweka hadharani episode ya kwanza ya Mr Masaki movie episode ya pili haitakaa muda mrefu ameshaanza kujiandalia shooting yake.

7,009 total views, 0 views today

Add Comment