Scroll to Top

Kundi la Madrassatul Kheri kwa maandarizi ya filamu mpya “Swalah”

By Janvier Nzokurigomba / Published on Monday, 02 Apr 2018 03:25 AM / /

Kundi la “Madrassatul kheri” wanaandaa filamu mpya itakaokuja kwa jina la “Swalah”

Kama aliviotuambia director wa kundi hilo la “Madrassatul Kheri” Hamza Mahane, kundi zima la Madrassatul kheri analoongoza liko kwenye maandarizi ya kutunga filamu mpya itakaokuja kwa jina la “Swalah”.

“Tume anza kushooti Filamu yetu Mpya itakayo kuja kwa jina la “Swalah. Tume hakikisha filamu hii itakuja na mfumo wa kipekee. Twaitaji duwa zenu wapenzi wa filamu zetu. Nina imani hii movie inakuja kuwakumbusha wasiyopenda kuswali. Twamuomba Allah azikuze kazi zetu kama tunavioifikiria dini yake kwakuwaelimisha waja wake”. Alivyiotamuka Director Hamza Mahane.

Tuwakumbushe kwamba filamu hii “Swalah” itakua ya tatu ya kundi hilo LA “Madrassatul Kheri” badala ya kutoa filamu mbili “Bilali” pamoja¬† na “Haki Yangu”.

Pia kundi la “Madrassatul kheri” ni la wasani wa filamu za maadili Bujumbura Burundi chini ya Director Hamza Mahane.

Filamu za Burundi mnaweza zicheki kupitia tovuti¬† “http://Nihotv.com”

Na msisahau ku subscribe ku channel yetu ya YouTube.

http://Nihotv Burundi

 

3,616 total views, 0 views today

Add Comment