Home Indundi Cinema

Indundi Cinema

Tambwe Remy anakuja na kazi mpya iitwayo nabii Ezekiel

Muigizaji wa Filamu nchini Burundi Mr Tambwe aonekana na ujio wa kazi nyingine mpya ambayo inaitwa NABII EZEKIEL, Ikumbukwe kwamba kijana huu Tambwe ni...

Mzungu muigizaji wa filamu Gitega na ujio wa Filamu mpya

Mchezaji wa Filamu nchini Burundi maarufu kwa jina la Mzungu nwenye makaazi yake mkoani Gitega baada ya kufanya interview na Indundi Tv kwa sasa...

“Wa Director wajifunze namna yakufanya Casting nzuri kwa wanawake”

Msanii wa Filamu nchini Burundi kwa jina NAhimana Belyse ni mmoja wa wakina dada wenye kujituma sana kwenye ulimwengu wa Filamu nchini Burundi na...

“Wadhamini wenye TV online waache unafiki wakusema wanatowa sapoti kumbe wanatuangusha”

Muigizaji wa Filamu nchini Burundi maarufu kama Mr Mvuto kwa jina lake HAKIZIMANA DANNY ,ni msanii mwenye uwezo wakuigiza. Baada yakuongea na Indundi Tv...

Itangishaka Julien: Narudi kwenye game ya filamu ili nipambane na wenzangu

Muigizaji wa Filamu nchini Burundi aitwaye Itangishaka Julien aonekana na utofuti mkubwa sana kwenye kazi zake, ni mda mlefu sana kijana huyo apatikani...

Muigizaji wa filamu nchini Burundi Mr Tambwe kuandaa series mpya

  Muigizaji wa Filamu nchini Burundi maarufu  Mr Tambwe anakuja pia na ujio mpya wa Series ambayo kwa Upande wake itakuwa ni yenye elimu zaidi,...

Mugizaji wa Filamu pande za gitega anakuja na mapya

Muigizaji wa Filamu nchini Burundi ambae anatumikia kazi zake Mkoani Gitega Maarufu kama Muzungu ,kweli nikijana ambae anajituma sana kwa kweli na katika muonekano...

Filamu ni kipaji changu mimi nimekubalika na kazi zangu zikapendwa now nakuja kivingine

Muigizaji wa Filamu nchini Burundi Hakizimana Celine ,ni binti aliyekubalika sana kwenye Tasnia ya Filamu Burundi na aliweza kujichukulia umaarufu mkubwa kwa Filamu aliyo...

Simon Mashakado na kazi mpya iitwayo No Love

Mpambanaji wa Filamu za kiswahili nchini Burundi maarufu Simon Mashakado pia kiongozi na msimamizi wa Company ya MASHAKADO ENT. ,Simon nikijana mwenye umri mdogo...

#Indundi Film | Hawa Modrick Muigizaji wa Filamu chipukizi anaejikubali

  Mchezaji uyu wa Filamu Inchini Burundi kwa Jina HAWA MODRICK anaejituma kutokana na kazi zake za filamu siku kwa siku ,Pia ni binti aliye...

Muigizaji wa filamu Fally aja na umoja wa wasanii

Muigizaji wa Filamu nchini Burundi Kundu Fally ajulikanae kama Mr Fally, ni mmoja kati ya waigizaji wazuri nchini Burundi -Bujumbura sehemu za Kamenge. Pia...

Msanii wa kike anaetamba na filamu yake ya House Girl aja upya

Migizaji wa Filamu nchini Burundi maarufu Huguete anazidi kuonekana na ubora mkubwa sana kwenye kazi zake za filamu hadi kujichukulia umaarufu mkubwa sana kwenye...

Most Read

#diaspora|Myfin microfinance igiye kworohereza abarundi baba mu mahanga kuzana imitahe

Hagiye kwugururwa ishirahamwe ryo kuziganya no kugurana(microfinance Myfin),mu ntumbero yo kworohereza abarundi baba mu mahanga gushika imitahe yabo hano mu gihugu. Ubucuti buri hagati y'ishirahamwe...

# Indundi Sports | Official : Iddy Muserem yamaze gusinya muri Gasogi United

Inyuma y'urukurukuru rwava mugihugu c'Urwanda  ruvuga ko umusatirizi w'umugwi Messager Ngozi ashobora kwerekeza muri Gasogi United muri ico gihugu , urukurukuru rwahavuye ruba inkuru...

David Ndikuriyo yimitswe mu mabanga mashasha

Umukinyi wa kera w'umupira w'amaguru akaba yarigeze no kuba umunonotsi Ndikuriyo David batazira Maras yagenywe mu mabanga yo kuba musitanteri wa komine Mabanda mu...

Gymkhana yaronse itike

Mu gihe kuri uyu wa gatandatu hazokinwa inkino z'igice cakabiri gishira ica nyuma c'inkino zugurura ihiganwa(tournoi d'ouverture), imirwi itatu niyo yarimaze kuronka uburenganzira . Urunani...