Home Indundi Cinema

Indundi Cinema

Producer wa Filamu nchini Burundi POPS anarudi upya

Producer wa filamu nchini Burundi kwa jina la Muhirwa Olivier maarufu kama Pops ni kijana mtengenezaji wa nyimbo za wa Star wengi pia ni...

Jacklus Smasher aja na filamu mpya iitwayo «mwanamke »

Muigizaji wa filamu nchini Burundi maarufu kama Jacklus Smasher ,kweli nikijana ambae anazidi kufanya kazi na kuleta changamoto kubwa kwenye tasnia ya Filamu. Pia...

Niyuhire Aline : ‘’waigizaji wanawake nawaomba tufanye kazi nakuonekana bora zaidi’’

Muigizaji wa Filamu nchini Burundi maarufu kama NIYUHIRE ALINE, ni Muigizaji mzuri ambae anajituma na kutendea haki kazi zake za uigizaji pia apo ni...

Nyilas, Producer na mtengenezaji mzuri wa Filamu nchini Burundi

Mtayarishaji wa Filamu nchini Burundi Nyilas ni kijana mwenye uwezo mkubwa sana kwenye kazi yake ya utengenezaji wa Filamu na amejichukuliya umaarufu mkubwa sana...

Zamda anajikubali nakusema kwamba yeye ni Actress mwenye uwezo mkubwa

Muigizaji wa Filamu nchini Burundi kwa jina la Iradukunda Zamda maarufu kama Ange apo ni baada yakufanya movie iitwayo USALITI nakuonesha uwezo mkubwa sana...

Muigizaji wa Filamu nchini Burundi na kazi yake mpya

Muigizaji wa Filamu nchini Burundi Mimani Shabani maarufu kama Shabani, ni kiongozi wa Company ya La Colombe Blanche ambayo inafanyia zoezi Bwiza. Pia Shabani...

Actress mwenye mvuto wa Filamu kuonekana upya

Muigizaji wa kike ajulikanae kwa jina la Belyse Mune ni msichana mwenye uwezo wa kuigiza kila scene na uku akiitendea haki kwa uwezo mkubwa...

Breaking news : Baba Kanumba afariki dunia

Baba mzazi wa Marehemu Steven Kanumba, Charles Kanumba amefariki Machi 8, 2020, saa nne asubuhi akiwa Hospitali ya Mkoa wa Shinyanga. Mdogo wake Kanumba,...

Mtayarishaji na mchezaji wa filamu nchini Burundi kwendelesha kazi zake nje ya nchi

Mtayarishaji wa Filamu pia na Mchezaji wa Filamu nchini Burundi Hakizimana Eshima maarufu kama Eshima ,pia na msimamizi wa Comapany ya ESHIMA VIDEO alikuwa...

Skendo : Mimi nasimama upande wote, filamu na comedy

Mchekeshaji wa Filamu nchini Burundi aitwaye Radjabu maarufu kama Skendo Olamide ni mchekeshaji mzuri sana na kazi zake kupendwa zaidi. Ni msani ambae saa...

Filamu za Burundi kushiriki kwenye RIMA

RIMA maana yake RWANDA INTERNATIONAL MOVIE AWARD ni shirika ambalo linapatikana nchini Rwanda baada yakutoka kuwa National na kwa sasa kuwa international hiyo ni...

Kube Drama na filamu mpya kwa mara nyingine

Muigizaji pia na mtangazaji nchini Burundi kwa Jina la Kube Drama ambae anazidi kufanya vizuri siku kwa siku kwa sasa imeonekana kujiunga pamoja na...

Most Read

#diaspora|Myfin microfinance igiye kworohereza abarundi baba mu mahanga kuzana imitahe

Hagiye kwugururwa ishirahamwe ryo kuziganya no kugurana(microfinance Myfin),mu ntumbero yo kworohereza abarundi baba mu mahanga gushika imitahe yabo hano mu gihugu. Ubucuti buri hagati y'ishirahamwe...

# Indundi Sports | Official : Iddy Muserem yamaze gusinya muri Gasogi United

Inyuma y'urukurukuru rwava mugihugu c'Urwanda  ruvuga ko umusatirizi w'umugwi Messager Ngozi ashobora kwerekeza muri Gasogi United muri ico gihugu , urukurukuru rwahavuye ruba inkuru...

David Ndikuriyo yimitswe mu mabanga mashasha

Umukinyi wa kera w'umupira w'amaguru akaba yarigeze no kuba umunonotsi Ndikuriyo David batazira Maras yagenywe mu mabanga yo kuba musitanteri wa komine Mabanda mu...

Gymkhana yaronse itike

Mu gihe kuri uyu wa gatandatu hazokinwa inkino z'igice cakabiri gishira ica nyuma c'inkino zugurura ihiganwa(tournoi d'ouverture), imirwi itatu niyo yarimaze kuronka uburenganzira . Urunani...