Home Indundi Cinema

Indundi Cinema

The Brothers company : Uzinduzi wa movie hii itakuwa moto

Company ya utengenezaji na uandaji wa Filamu nchini Burundi The Brothers Company ambayo inazidi Kufanya vizuri siku kwa siku na kuleta utofauti mkubwa sana...

Ernest : Nimejifunza mengi kuusu filamu za Burundi

Muigizaji wa Filamu nchini Burundi  Mr Ernest ni kijana anaejituma sana kwenye Tasnia ya Burundi. Baada ya kutowa movies zilizowafurahisha mashabiki wa filamu, amekuwa kimya...

Sadji Omar : Huu ni mwaka wa mabadiliko makubwa sana

Muigizaji wa Filamu nchini Burundi Sadji Omar msanii mkongwe kwenye Tasnia ya Filamu Burundi na ameweza kushiriki na kutengeneza Filamu nyingi tofauti na kujipatia...

William Mtitu : “Lulu Diva anakipaji cha kuigiza sio music”

Producer na muigizaji mkongwe, William Mtitu amesema anaamini Lulu Diva ana kipaji cha kuigiza zaidi kuliko kufanya muziki na angepata mafanikio makubwa kuliko alivyo...

Tambwe Remy na movie mpya akimshirikisha mama Kanumba

Muigizaji wa Filamu nchini Burundi HAKIZIMANA REMY maarufu kama Mr Tambwe baada yakufanya kazi nyingi sana nakuonekana mwenye kupambania Tasnia ya Filamu Burundi kwa...

The Brothers Company : “Tunamleta Hemedy Suleiman Burundi”

Company ya uandaaji wa Filamu nchini Burundi The Brothers Company ni Company inayo endelea kuleta wasanii wa nje ya nchi na kuwashirikisha kwenye kazi...

Hii ndo sababu yake kuamuwa kwenda na kukaa katika nchi ya Congo

Muigizaji wa filamu nchini Burundi ajulikanae kwa jina la Sadiki Henry ni muigizaji pia anahusika na utafutaji wa soko za filamu nchini Burundi hapo...

Gad : “Mwaka huu lazima nifanye filamu kubwa ya kimataifa”

Muigizaji wa Filamu nchini Burundi Mr Gad mwenye makao yake makuu mkoani Rumonge ,ni muigizaji ambaye anaendelea kujituma sana siku kwa siku na kazi...

David Kalitumba : “Baada ya kutoka Burundi na kwelekea malawi sikuacha filamu”.

Muigizaji wa Filamu kwa jina la David Kalitumba ambaye ni mwenye uraia wa kikongo ila alikuwa akifanyia Filamu nchini Burundi kaada ya kutoka Congo...

Nemcy le Madame : “Nimefanya kazi mingi sana ambazo zinakubalika”

Muigizaji wa Filamu nchini Burundi Nemcy A.k.a Le Madame ni mwana dada ambaye anazidi kujituma sana kwenye kazi zake nakuzidi kuonekana na utofauti mkubwa...

Papy Bienms : Waigizaji wa filamu wengine hawajielewi ajili hawana ndoto

Muigizaji wa filamu Papy Bienms ni msanii anaezidi kufanya vizuri kutokana na kipaji chake na kuanza kutafutwa kila sehemu kama mshiriki, na katika kazi...

UKEBURWATANS FC : “Tunajipanga kufunga waimbaji wa music”

UKEBURWATANS ni nyumba ya utengenezaji wa filamu nchini Burundi ambayo inaongozwa na Mama Souavis na ni Company kubwa ambayo inazidi kujibebea umaarufu mkubwa sana...

Most Read

Umurwi CENI ngo ugiye kwakira ivyegeranyo vy’utunenge twabaye mu matora

Umukuru w’umurwi wigenga ujejwe gutunganya amatora Pierre Claver Kazihise amenyesha y’uko abantu nka bose bari barungitswe kurorera amatora aheruka kuba kuwa 20 Rusama 2020...

Ngozi-Kayanza : Abarimyi b’ikawa baridogera abajejwe amatonorero

  Abarimyi b'ikawa bo mu ntara za Ngozi na Kayanza baridoga ko inyuma y'isaha icumi na zibiri z'umugoroba (18h00) badasubira kubakirira ikawa bagaca baja kuzisyera...

BDUSA : Samuel Ndayiragije yoba yarakombowe koko?

Mu kiganiro abaramutswa ishirahamwe BDUSA, bakoranye na Raphael Biko umumenyeshamakuru yigenga, baratanga umuco kw'ibomborabombora riri muba nyeshirahamwe muri kino gihe. Uwahawe ijambo ubwa mbere akaba...

Jumaine urugero rw’abakinyi biwe rwaragabanutse

Inyuma yo kunganiriza i Bujumbura Ku kibuga c'intwari n'umugwi wa Inter Star 0-0, mu rukino rw'igice ca kabiri gishira icanyuma c'igikombe c'Umukuru w'igihugu, Niyonkuru...