Home swahili

swahili

Nizigama Nipo anakuja na filamu mpya iitwayo “Kajembe”

Muigizaji nguli wa Filamu nchini Burundi Nizigama Nipo maarufu nwa jina la Nipo Star kwa kazi anazo zidi kufanya siku baada ya siku na...

Pamella : Filamu Burundi tatizo letu sote hatuna umoja

Msanii wa filamu nchini Burundi maarufu kama Pamy Love ni dada mwenye kujituma na kutafuta maendeleo ya filamu nchini Burundi uku akiwa mwenye kupambania...

“Nitasimamia haki ya Buja movie na kufanya chochote hadi nihakikishe saana ya Burundi imeinuka”

Muigizaji wa filamu nchini Burundi maarufu kama Mulove ni mtu mwenye kuonekana na bidii sana kwenye kazi yake ya kuigiza pia ametembea sehemu tofauti...

Kisuba Charles atowa sababu za kuanzisha company yake binafsi

Kijana Kisuba Charles maarufu kama Charles pia ni kijana anaendele kujituma kwa hali ya juu nchini Burundi nakupambania haki ya sanaa ya maigizo na...

Ahishakiye Fanny : “Sina ndoto ya kuwa kama Irene Uwoya maana nami nina ndoto yangu”

Muigizaji wa filamu nchini Burundi Ahishakiye Fanny maarufu kama Fanny amefunguka na kusema kwamba mimi sina ndoto kama ya mwenzangu ila nina ndoto yakuwa...

Harerimana Hamu : “Mimi ni actress anaejielewa na sipo tayari kufanya filamu za kitoto”

Katika Tasnia ya Filamu nchini Burundi kwa upande wa filamu za kiswahili ni moja ya secta iliyo kosa kabisa waigizaji wa kike ,ila Hamu...

Happy River anashituwa tasnia ya filamu kwa kazi yake mpya

Kijana Happy River ambae ni msimamizi wa Company yake iitwayo HOT RIVER FILMS, River ni kijana anae endelea kujituma na kutumika sana uku akiamini...

Ibrahim anasiri kubwa ndani yake

Baada ya muigizaji wa filamu nchini Burundi Ibrahim Ismail maarufu kama Mr Icu Burundi kuendelea kupambana kwenye tasnia ya filamu uku akijaribu ata kuitangaza...

Tambwe Remy aonekana na kazi mpya kwa mara nyingine

Tambwe ni msanii anae jituma mda kwa mda bila kupumzika,baada ya kazi yake ya THE SHOCK Kuonekana sana na kupendwa na watu kiukweli kijana...

Simon Mashakado akizinduwa filamu yake mpya kwenye ukumbi wa “Bar Giraffe”

Kijana Simon Mashakado pamoja na kundi lake nzima baada ya kundi lake kuendelea kufanya vizuri mda kwa mda kwa sasa kijana huo anaonekana kwenye...

Shabani, msanii wa filamu za Burundi na ndoto kubwa

Msanii Shabani maarufu kama Shablix ni mkurugenzi wa Company ya LA COLOMBE BLANCHE ambayo kwa sasa ina zaidi ya miaka 8 kwenye game nakufanikiwa...

Salumu Jimmy na Filamu yake mpya “mda mhafaka”

Kijana mwenye uwezo mkubwa wakuigiza ajulikanae kwa jina la Salumu anaendelea kufanya vizuri siku baada ya siku nakuitaji kuleta maendeleo kwenye company yake ya...

Most Read

Urunani rw’urwaruka ruri kubikorwa SEST ruhamagarira urwaruka kutaja mu bintazi

Urunani rw’urwaruka ruri kubikorwa SEST ruriko rurafasha urundi rwaruka rwo muri Komine Buganda ruri mu buruhuko kwitunganya Mu ntumbero yo gufasha urwaruka ruri mu buruhuko...

Urunani rw’urwaruka ruri kubikorwa SEST ruhamagarira urwaruka kutaja mu bintazi

Urunani rw’urwaruka ruri kubikorwa SEST ruriko rurafasha urundi rwaruka rwo muri Komine Buganda ruri mu buruhuko kwitunganya Mu ntumbero yo gufasha urwaruka ruri mu buruhuko...

Kamoso yavuze kuvyo yabonye ku muryango wa Nyakwigendera Petero Nkurunziza

Uguhura kwa Eddy kamoso n'umukuru w'igihugu c'Uburundi, Nyakwigendera Petero Nkurunziza, ngo vyabaye ugusohora kw'amasezerano Imana yari yarahaye uwo muririmvyi akaba n'umumenyeshamakuru. Mu kiyago n'ikinyamakuru Isibo...

# Indundi Sports | Abakinyi b’aba nyamahanga Aigle Noire yazanye

Mundwi yaraye iheze umugwi Aigle Noire the Fighters werekanye abakinyi batatu b'abanya mahanga bavuye muri Tanzania wazanye mu ntumberoyo kwiyuzuza no kwikomeza . Umumenyereza w'umugwi...