5.5 C
New York
Monday, September 27, 2021
Home57è anniversaireMsanii chipukizi ndani ya Filamu za Burundi

Msanii chipukizi ndani ya Filamu za Burundi

Msanii wa Filamu nchini Burundi Mr Tambwe baada ya maneno mengi kuhusu kupendwa kwa Filamu yake iitwayo mr MASAKI na kuambiwa kuwa ana uwezo mkubwa pia akiendelea kuwa mbunifu akafikia malengo basi ameanza harakati za kuweza kufanyisha Usajili pia ametokea kumpata mwana dada ambaye ni mfanya biashara mkubwa jijini na ajawai kuigiza na apo Tambwe ameficha jina lake.. je unafikiria nini kuhusu ili?

Ila Tambwe alipo wasiliana na Indundi Tv aliweza kuongea kuwa “anatoa ahadi kwa mashabiki wake kuwa atazidi kutengeneza wa actress wapya tena wenye uwezo mkubwa maanda ndoto yake nikuona Burundi inasikika kimataifa”. Alisema Tambwe.

Pia Indundi Tv inasema HONGERA sana

Pia warundi msikosi kumpongeza Mr Tambwe

- Advertisment -

Must Read

# Indundi Sports | Ukwubaka urwiwe ntibiri mu mutwe wa Niyonsaba...

0
Abigeme benshi bama bipfuza abagabo babakwa ariko kuri Francine ivyo we ngo aracabibona nk’indoto. Kuri uyu wa gatandatu igenekerezo rya 25 Nyakanga 2021, isaha zine...