homepageCECAFA Challenge cupIndundi CinemaMoviesswahili

Mr Tambwe ndani ya movie mpya “Baraka”

Msanii HAKIZIMANA Rémy maarufu mr Tambwe kwa sasa anakuja na movie mpya ihitwayo BARAKA. Baada ya Tambwe kufikiria nakuona kuwa nchini Burundi eti akuna soko ya filamu ameanza kutengeneza Épisode ili kuanza kufanya biashara na wa boss wanao simamia TV za Online ili kuweza kujikuzia Company yake nakuingiza kipato

Majibu aliyo yatowa indundi baada yakuulizwa ni changamoto gani anakutana nazo, aliweza kujibu : “nchini kwetu sijuwi nini tatizo ili msanii asiwezi kupewa thamani aswa sisi waigizaji wa filamu za kiswahili. Ila ukiangalia sisi ndo watu pekee tunao itangaza nchi yetu kimataifa ila awatuoni nasisi tu naitaji sapoti ili tuweze kufanya kazi kubwa nchini kwetu wasituache”.

Aliongeza kusema eti “Pia inabidi wa Managers wajielewe sio kwamba wanapotowa pesa laki moja wanaona kwamba ndo movie imekamilika, kama Tanzania wa Kanumba wameendelea nikwasababu management zao walijuwa nini maana ya kazi zao”.

Tambwe alionesha uchungu alionao kuhusu kuinuwa filamu za Burundi

What's your reaction?

Related Posts

1 of 297