homepageCECAFA Challenge cupIndundi CinemaMoviesswahili

Waigizaji wa Burundi kushirikiana na wasanii wa DRC

 

Ni filamu ya Waigizaji wa Burundi wakishirikiana pamoja na wasanii wa nchi ya kidemokrasia ya Congo uku wakitafuta Maendeleo katika nchi hizo mbili.

Na baada ya Kufanya usajili wa wasanii na wameweza kutowa orodha ya wasanii waliopita kama unavyoona apo chini.

Wasanii waliopita kisha kufanya casting ya filamu mpya iliofanyika tarehe 10 hadi 11 Mwezi julai mwaka 2019 kukko shule la Danilo Catarzi.

 

Wasanii walioshiriki :

Wavulana :25

Wasichana : 13

Jumla : 38.

Waliofaulu :

Wavulana : 14

Wasichana :7

Kwa ujumla : 21

Orodha ya waliofaulu :

a) Wavulana :
1. Rashidi Lusambo Bruno
2. Aboubakar Desayo
3. Assumani Rosha
4. Kamenga byamungu
5. Daudi noha
6. Ferati peace
7. Mkongomani sadiki
8. Justin maganga
9. Aimerode aime
10. Aruna felix
11. Baruani baru
12. Aliyabo ernest
13. Fasta hasan
14.Vaskat Yassin

b) Wasichana :
15. Scolas Jonson
16. Juslaine Evajoy
17. Rose sumbu
18. Amina zubeda
19. Riziki eugenie
20. Sarah Musa
21. Justine chance

Awa ndo baadhi ya wasanii ambao walichaguliwa na watakao shiriki kwenye iyo filamu kubwa

Na kwa mtazamo ni movie itakayo kuja kuleta mabadiliko ndani ya filamu za Burundi na Congo
Ikiwa wewe ni mpenzi wa maendeleo basi towa sapoti kwa vijana wenye ndoto kubwa.

What's your reaction?

Related Posts

1 of 297