Baada ya kushika maamzi mapya, Mr Kisuba Charles anakuja na movie mpya “Bora Kinga”.
Kijana Kisuba Charles mwenye makazi yake Kinama, Bujumbura baada yakuona kuwa ameanza kutumika na makundi mengi tofauti kwa sasa ameamuwa kufunguwa kundi lake binafsi linaloitwa THE GOOD PLAYERS CLUB ambalo analiongoza mwenyewe.
Ivo ameweza kuja kitofauti na movie iitwayo BORA KINGA na amesema kuwa mda simrefu ataachia.
Basi ikiwa wewe ni ndugu na mpenzi wa filamu za Burundi kaa mkao wa kula.