homepageCECAFA Challenge cupIndundi CinemaMoviesswahili

Kijana Kan Ray anakuja na mapya

 

Kijana mwenye umri mdogo sana ku waigizaji waandishi aitwae kwa jina la KAN RAY anakuja na filamu yake ambayo ameeleza Indundi Film kuwa ina istoria ya upekee na yenye mvuto kwa watu akaongeza kusema kuwa story iyo :

Movie yetu ina sema familiya mbili zilikuwa zikiishi kama majirani ila pakatokea mnafki aka zigombanisha wakawa hawa ele wani mwisho mna fkiaka kakamatwa”.
Alisema Kan Ray kwa filamu yake iitwayo SALALI NA ASALI

Kwa kweli nitaleta movie nyingi ambazo waandishi wengine awajawai kuzifanya kabisa maana mwaka uhu lazima nitambulishe bendera ya Burundi kimataifa

Basi Indundi Film inamtakia mafanikio na kama wewe ni shabiki wake usikosi kumsapoti.

What's your reaction?

Related Posts

1 of 297