Muigizaji wa Filamu nchini Burundi Bekiss na sura mpya
Muigizaji wa filamu za lugha ya taifa KIRUNDI Bekiss kwa sasa anaonekana mwenye kujituma na kuwa na maendeleo ya kipekee kwenye tasnia ya filamu nchini Burundi. Baada yakutowa movie nyingi zenye mafunzo na maendeleo basi…