HomehomepageMuigizaji wa Filamu nchini Burundi Bekiss na sura mpya

Muigizaji wa Filamu nchini Burundi Bekiss na sura mpya

Muigizaji wa filamu za lugha ya taifa KIRUNDI Bekiss kwa sasa anaonekana mwenye kujituma na kuwa na maendeleo ya kipekee kwenye tasnia ya filamu nchini Burundi.

Baada yakutowa movie nyingi zenye mafunzo na maendeleo basi Indundi ilipo muuliza anajiandaa aje na anakuja na sura gani kwenye tasnia ili kupinduwa palipo kosa
Bekiss ameongea :

“Huu mwaka niko naandaa Saison nzuri sana ikiwemo na comedi yakutosha iitwayo IJEKE ivi punde episode zamwanzo mwanzo zitaanza kwenda hadhalani naomba mashabiki wangu muni support sana nguvu zenu njo uwezo wangu. Napenda kuwambia kitu pasipo nyinyi Bekiss hawezi fika popote nawapendeni sana nyinyi ndoma boss wangu”. Aliongea Bekiss.

Pia kwa upande mwengine ameweza kujichukulia wasanii wakubwa na wenye uwezo mkubwa zaidi hadi wameonesha uwezo wao siku ya uzinduzi wa COPS ENEMY kwenye Ukumbi wa Source Du Nil na watu walifurahia sana kundi lake kweki anastaili Sapoti.

- Advertisment -

Must Read

Lumitel, the new official sponsor of the women’s branch of the...

0
At the national technical centre, the Burundi Football Federation has signed a partnership contract with the communication company operating in Burundi known as Lumitel. This...