homepageCECAFA Challenge cupIndundi CinemaMoviesswahili

Ndayishimiye Lucien, muigizaji wa filamu nchini Burundi anakuja na “Village conflict” movie

Kijana Ndayishimiye Lucien muigizaji wa filamu nchini Burundi toka mwaka 2013 ila kwa sasa yupo nchini South Africa, alianza filamu mwaka 2013 pia alikuwa na ndoto ya kuja kuwa Director mkubwa na alianza katika Company ya TAMBWE THE GREAT FILMS hadi alipo badili nchi nakufika Malawi na ndipo akaanzisha tena Group mpya nakuonesha uwezo wake wakuigiza hadi wakatokea kufanya Movie iitwayo VILLAGE CONFLICT ambayo amecheza kama Principal Actor

Alipo ulizwa na Indundi.com nini malengo yake alijibu kwa kusema:

“Mimi nina ndoto kubwa sana yakuweza kuitambulisha nchi yangu nakuifikisha mbali hadi waigizaji wa nje ya nchi wajuwe kuwa sisi warundi tunaweza kuigiza, ila kwasasa nataka kurudi nyumbani ili kuja kufanya kitu nilicho jifunza na pia naamini kitaleta mabadiliko makubwa sana.

Neno moja kwa kijana huyu kuonesha nguvu yakupambania nchi yake kupitia Filamu.

What's your reaction?

Related Posts

1 of 511