5.5 C
New York
Thursday, April 22, 2021
Home CECAFA Challenge cup DTJ Company na ujio wa kazi mpya na maendeleo ya Filamu East...

DTJ Company na ujio wa kazi mpya na maendeleo ya Filamu East Africa

Kijana Douglas Karama mwenye makaazi yake nchini Congo ametokelezea na ujio kwa kazi mpya ambao anasema kwamba itatokea kusambaa kimataifa pia amesema katika ukurasa wake wa Facebook :
“Mimi sipendi kuwa mtu wakuongea sana ila naitaji kazi zangu ndo ziongee”. Alitamka Douglas

Pia inavyo julikana kwamba Manager wa DTJ mwenye makaazi yake nchini Ulaya aliweza kumteuwa kijana Douglas Karama kama msimamizi mkubwa wa DTJ Company Films nchini DR Congo pia na Burundi wamefanikisha kuliweka na kwa sasa linatumika, pia wanakuja na ujio wa filamu ya MY DREAM ,Nakatika maelezo wanasema kwamba filamu hio itakuja kuleta utofauti mkubwa sana Uvira.

Pia Manager huyo anaejulikana kwa jina la Aime wa Aimable ndio C.E.O wa label pia inayo simamia msanii wa Music nchini Burundi BIEN FREEMA.

Pia alipo ulizwa anayo malengo gani hadi kufikisha Company yake hadi nchini Burundi amesema kuwa :

“Mimi nakuja kusaidia kila kijana ambaye anayo ndoto na ana kipaji chake kuanza Filamu hadi Music”.

Neno moja kwake.

Must Read

Mvuyekure Emmanuel yaraye afashije KMC kunganya na Biashara United

0
Ku musi wa kabiri igenekerezo rya 20 Ndamukiza 2021, Umugwi KMC ukinamwo Umukinyi w’umurundi Mvuyekure Emanuel wari wakiriye umugwi Biashara United mu rukino rw’indwi...