homepageCECAFA Challenge cupIndundi CinemaMoviespromotedswahili

Breaking news : Pigo ya msiba kwa waigizaji wa Burundi

Msanii Shemsa Stegy muigizaji alietamba kwenye tasnia ya filamu na uwezo mkubwa sana wa kuigiza hadi akawa kivutio kwa mashabiki wake, apo imekuwa mwaka 2012 aliigiza baadhi ya filamu nyingi na apo mwaka 2013 alianza kualikwa mikoani na kufanya kazi maana alikuwa ni mwanamke mchapa kazi bila kubaguwa scenes alizo pewa na alikuwa anajitaidi sana kufikia ujumbe ambao Filamu hio inaelezea ,na ameweza kujichukulia umaarufu mkubwa sana na kuwa Best Actress kwenye kata ya kaskazini (Quartier Nord) mwaka 2012-2016 na amependwa na watu

Shemsa Stegy ni binti mrundi ila amekuwa amegeuza makao nakuishi nchini Kenya Mombasa kwa ajili ya mishe mishe ya maisha na kusimamisha game ya filamu kwa miaka mitatu.
Taarifa zilizo fika punde ni kwamba alivamiwa na majambazi nakupata kipigo ambacho kimemsababishia umauti,

Na tulipo wasiliana na rafiki yake ambae yuko Kenya amesibitisha wazi kwamba ndio Shemsa amepoteza uhai kama mnavyo tazama kwenye pic kwa kipigo alichopewa na kuaribika sura.

Indundi Film inatowa pole sana kwa familia, mashabiki pia na waigizaji wote nchini Burundi kwakupoteza mwanamke mpambanaji.

What's your reaction?

Related Posts

1 of 518