homepageCECAFA Challenge cupIndundi CinemaMoviesswahili

Msanii kutoka Tanzania akiwa katika nchi ya Burundi na kuandaa kazi mpya

Frederick Habona ambae ni msanii kutoka Tanzania nakuja nchini Burundi kwa ajili ya maandalizi ya Filamu yake mpya ambayo anatarajia kuja kuachia siku za uso na pia ameweza kushirikisha wasanii wengi nchini Burundi Pia.

Indundi Tv imeweza kumjongelea Frederick Habona nakumuuliza nini kilicho mvutia yeye hadi aje Burundi, Habona akajibu :

”Kwanza ni moja ya mazingira ambayo imenifuraisha toka mara ya kwamza nilipo kuja apa Burundi kweli Burundi naipenda na warundi pia nawapenda ,na filamu yangu hio kuwashirikisha wao ni kwasababu nimekuta kweli wasanii wa apa wako na vipaji na wanaweza kazi kwa hali ya juu nikafuraishwa nao, pia filamu yangu inaitwa SPIRITUAL WAR pia niseme tu kwamba movie hio itashiriki pia wasanii wazuri tena wakubwa tokea nchi Tanzania maana nita kwenda ku shoot pia na Tanzania tena niwakumbushe kitu tu kwamba sio filamu moja ambayo nitaifanya apa ni nyingi tu ila niwaambie mashabiki wangu nchini Tanzania na Burundi mkae tayari kumuona Habona upya na kazi kubwa kwenye kazi zangu”. Alimaliza Habona.

Ikumbukwe kuwa Habona ndo yule kijana ambae bado anazidi kuwakilisha Companya ya Marehemu Steven C.Kanumba “KANUMBA THE GREAT FILMS”.

What's your reaction?

Related Posts

1 of 246