5.5 C
New York
Saturday, April 10, 2021
Home CECAFA Challenge cup Hakizimana Rémy na ujio mpya wa utofauti kwenye filamu za Burundi

Hakizimana Rémy na ujio mpya wa utofauti kwenye filamu za Burundi

Msanii Hakizimana Rémy maarufu kama Mr Tambwe alietambulika kwa jina ya Shortfilm ambayo imejibebea umaarufu mkubwa na hadi watu kumuita jina la Filamu hiyo “NABII MRUNDI” kwa sasa anakuja na lingine ambalo limebeba jina kubwa tena nakusema kwamba ni mapinduzi anakuja kuleta
Ila Indundi Film ilipo muuliza kuhusu mipango yakeTambwe Amesema:

“Kwanza mimi najielewa na ninafanya jambo kwa kuelewa tofauti na jinsi watu wanavyo nishika ao kuniona ni vile basi tu nchini kwetu tunakosa sapoti kubwa ili kuweza kufanikisha malengo yetu,ila nataka kuwaambia mashabiki wangu pia na warundi wa kwetu kwamba niko apa ajili yakutafuta maendeleo ya nyumbani na kuakikisha tunapeperusha bendera ya nchi yetu kimataifa na kuona wasanii wa Burundi tunaanza kuitwa ili kushiriki filamu za nje nasisi kama jinsi wasanii wengine wanavyo kuja huku kwetu Burundi”. Aliongea Tambwe.

Alipo ulizwa nini anacho kiandaa Tambwe amejibu : “Nakuja na ujio wa ShortFilm mpya inayo kwenda kwa jina la ZINDUKA baada ya siku ndogo itakuwa hewani na mtaweza kujipatia nusu ya mafunzo kutoka kwenye ShortFilm hiyo”. Alimaliza Tambwe

Ikumbukwe kuwa nikijana anaye jituma sana kwenye tasnia nzima ya Filamu nchini Burundi pia mpambanaji. Sapoti ni muhimu kwa vijana wetu ili waweze kufikia malengo yao.

Must Read

Les Jumeaux Music Club : Apprendre comment devenir boss de soi-même

0
Au moment où le marché du travail devient de plus en plus rare et que certains lauréats des universités tant publiques que privées gardent...