homepageCECAFA Challenge cupIndundi CinemaMoviesswahili

Comedy : Mimi ni Comedian mkubwa sana nchini Burundi ila kwa sasa watanielewa


Mfariji Alain ajulikanae kwa jina BATUWA ni muigizaji wa filamu nchini Burundi na aliweza kushiriki kwenye baadhi ya movie tofauti, ila kwa upande wake anasema kuwa ameona comedy ndo kitu ambacho kina faida kubwa kwake. Basi alipoulizwa ni vipi anapata faida hiyo, Batuwa alisema :

Mimi nasema ukweli kwenye hii tasnia ya Filamu nchini Burundi tunakutana na changamoto nyingi sana ila umbali na ilo ni kwamba kila mmoja anajuwa ni ipi faida yake maana upande wangu mimi wasanii wasipendi sana kulalamika eti tasnia ya filamu hailipi, kwanza itakulipa aje kipindi ujuwe ata nini unacho kifanya yaani upo kwenye uigizaji kisa wewe muigizaji. Kwa sasa nimeamuwa kuanza Comedy nilipo ishika siriazi kwa sasa tayari nina mkataba na Company ya Zenges Record na apo ndo nafanyia kazi pia malipo yangu ndo siri ya mafanikio yangu”. Alimaliza Mr Batuwa.

Comedy nchini Burundi imekuwa ni njia moja wapo yakutowa vijana haraka ila kwa upande wakujituma na kazi ikiwa siriaz itakuwa nyingi sana, maendeleo ya filamu nchini yanaletwa na wewe.

What's your reaction?

Related Posts

1 of 518