homepageCECAFA Challenge cupIndundi CinemaMoviesswahili

Msanii wa Filamu Baby Madaha kutoka Tanzania akiwa nchini Burundi

Msanii wa Filamu Baby Madaha ambae ni muigizaji wa Filamu nchini Tanzania vile vile akiwa kama msanii wa Bongo Flever aliwasili nchini Burundi kwa ajili ya Show ya Isha Mashauzi, mwanadada huyo ambae amejibebea jina kwenye Tasnia ya Filamu nakufuraisha wapenzi wakazi zake alipo fika nchini Burundi alitokewa sana kufurahia kazi ambazo warundi wanazidi kufanya siku baada ya siku na kusema kwamba kuna mwana mziki ambae anatamani afanye naye kazi ni Natacha la Bamba.

Pia ikumbukwe kuwa Burundi ni nchi ambayo imependwa sana na wasanii toka nchini Tanzania, ila Burundi pia inasemekana kuwa waigizaji wengi wanashindwa kujielewa maana ata pakija wasanii waigizaji kutoka nje ya inchi wanashindwa kufanya nao kazi tofauti na waimba mziki.

Indundi Tv inaomba sana waigizaji wa Burundi kubadirika nakuweza kuwa wanachangamkia fursa kama izo, maana sanaa hii ili iweze kufika mbali wanatakiwa wajitume kwa hali ya juu zaidi ili kuweza kutafuta maendeleo na waache lawama pindi wanakaa chini, maana ukitazama Burundi leo imeanza kusifiwa kwa kazi tofauti na jana.

What's your reaction?

Related Posts

1 of 518