Simon Mashakado : Nakuja na uzinduzi wa filamu yangu ya hali ya juu
Kijana Simon Mashakado anaezidi kujituma kwa kazi anazo zifanya siku kwa siku Baada ya Filamu yake ya TUNDA kufanya vizuri ameweza kukaa kimya mda mrefu uku akijifikiria kazi kubwa ambayo ataifanya. Basi ameweza kuieleza…