homepageCECAFA Challenge cupIndundi CinemaMoviesswahili

Jay-c Pro wana mbinu za kuinuwa waigizaji wa filamu ili filamu ya Burundi ipate nafasi

Jay-C Production ni nyumba ya utengenezaji wa Filamu na Music na kwa malengo yao wanacho kipanga ni kuinuwa filamu za Burundi pia waone waigizaji wamejijengea kipato kikubwa sana kwenye maisha yao ya sanaa na sio kulalamika kwa ukosefu.

Indundi tulipo pata nafasi yakuongea nao mawili matatu pamoja na Manager Akasema:

“Sisi tumekuja kweli tuna malengo mengi sana kuhusu sanaa ya nyumbani kabisa tumeona sapoti zipo ndogo sana kwa waigizaji wa filamu pia ndo chanzo cha Burundi yetu kutoendelea kimataifa tukaikaa chini nakusema kwa yale madogo tuliyo nayo tutajitowa ajili ya kusapoti iki kitu na sio tu kusapoti waigizaji bali ni njia ya kuinuwa nchi yetu ya Burundi kimataifa ijulikane kama vile Tanzania ilivyo julikana ki Movie pia na Music na kweli kazi tumezianza na Quality ya hali ya juu. Tunakaribisha wasanii wote wenye ndoto waje tujumuike pamoja ili kuweza kuakikisha tunafika mbali”. Manager wa Jay-C alimazia ivo

Sanaa ya Burundi itainuliwa na wadhamini wenye moyo wakujituma kimaendeleo na sio watu wenye kulala, pia waigizaji wa filamu wakiwa na umoja wa maendeleo lazima wafike na kuinuwa vipaji vyao.

What's your reaction?

Related Posts

1 of 518