5.5 C
New York
Saturday, January 16, 2021
Home CECAFA Challenge cup Simon Mashakado : Nakuja na uzinduzi wa filamu yangu ya hali ya...

Simon Mashakado : Nakuja na uzinduzi wa filamu yangu ya hali ya juu

Kijana Simon Mashakado anaezidi kujituma kwa kazi anazo zifanya siku kwa siku Baada ya Filamu yake ya TUNDA kufanya vizuri ameweza kukaa kimya mda mrefu uku akijifikiria kazi kubwa ambayo ataifanya. Basi ameweza kuieleza Indundi Tv akisema :

“Jambo ndugu mpendwa. Kweli nisiku nyingi nimekuwa kimya sana ki movie, ila haraka haraka aina baraka, nakupotea njia ndokujuwa njia, kilakitu kina wakati wake leo hii nimekuleteya movie mpya “SOFIANA”(mission impossible) kutoka Mashakado Entertainment, ndugu mpendwa support yako kwangu nikuonesha kama tuko sote kwa pamoja tena nataka kukujulisha yakwamba tarehe 18/11/2019 tukutanane sote ku La GIRAFE na 15h ili uwe wakwanza kuipata filamu hii nzuri iliyo chezwa na wasani wetu wakali wa filamu apa apa nchini kwetu Burundi. Kwaviyo usikose kwenye uzinduzi (Lancement Officiel) Siku hio ili uwe wakwanza kuipata, asante”. Alimazia apo

Kweli Burundi kuna wasanii wenye Nguvu ya maendeleo basi Indundi Tv inawatakia kila lakheri na mzidi kupata mafanikio.

Must Read

Moustapha Francis yaguzwe na Costa Union yo muri Tanzania

0
Kuri uyu wa gatanu igenekerezo rya 15 Nzero 2021, niho Umukinyi w’umurundi Moustapha Francis Njali yaguzwe n’umugwi Costa Union wo mu gihugu ca Tanzania,...