homepageCECAFA Challenge cupIndundi CinemaMoviesswahili

Ibrahim anasiri kubwa ndani yake

Baada ya muigizaji wa filamu nchini Burundi Ibrahim Ismail maarufu kama Mr Icu Burundi kuendelea kupambana kwenye tasnia ya filamu uku akijaribu ata kuitangaza nchi yake kimataifa uku akiwa anaonekana na waigizaji wakubwa wa nchi za nje kama Hemed Phd, Ray Jackline Wolper na wengine wengi hadi kutokea kufanya filamu na wasanii wakubwa nchini tanzania, basi katika habari za mtaani zakusema kwamba kwasasa atowi kazi tumemfata na kumuuliza nini shida na nini anachosema kwa mashabiki wake Icu amesema:

“Mimi ni Icu na nipo tofauti sana ata kwenye maisha yangu ya kawaida sipendi mtu kunijuwa saana napenda kuwa kimya ila mchapa kazi mahiri mfano kama nilivyo fanya movie na Patcho Mwamba, Mzee Majuto na wengi tu, kabisa imekuwa mshangao mkubwa sana kwa mashabiki wangu kwa hio napenda sana ivo na niwajulishe kwamba sipo kimya ila niwape tu ahadi kubwa kwamba mda sio mrefu nitakuja na kazi kubwa sanaa pia naitaji sana waigizaji wenzangu wajitaidi tusapotiane kwenye kazi iki kuweza kufika mbali na mini mda sio mrefu nitakuja na kazi mpya sana itakayo wafuraisha nyinyi wote nanajuwa siku hio itakuwa surprise kubwa sana”. Alimaliza Icu

Waigizaji wapo na wanazidi kutumika kwa umoja wenu mtainuwa tasnia ya filamu Burundi.

What's your reaction?

Related Posts

1 of 518