5.5 C
New York
Wednesday, January 20, 2021
Home CECAFA Challenge cup Simon Mashakado akizinduwa filamu yake mpya kwenye ukumbi wa "Bar Giraffe"

Simon Mashakado akizinduwa filamu yake mpya kwenye ukumbi wa “Bar Giraffe”

Kijana Simon Mashakado pamoja na kundi lake nzima baada ya kundi lake kuendelea kufanya vizuri mda kwa mda kwa sasa kijana huo anaonekana kwenye uwezo mkubwa katika uigizaji bila kusahau pia ndani ya tasnia ya filamu nchini Burundi kabisa kwa mara kidogo sana waigizaji wa filamu nchini Burundi kuona wanafanya kazi nakuanza kuzinduwa.

Basi Simon ametowa maelezo uku akisema:

“Kiukweli ni jambo kubwa sana kwangu toka nianze sanaa apa Burundi kufanikiwa kutengeneza Movie nakuandaa Launch kweli kwanza namshukuru Mungu pia nashukuru ata mashabiki wangu pia na waigizaji wenzagu kikubwa tu ni kwamba naitaji wajitokeze kwa sana waje kunisapoti bila kusahau ata vyombo vya habari na mambo kadhalika maana mimi napenda sana maendeleo ya filamu nzima ya Burundi na ninajuwa tu kwamba tutafika kwa uwezo wa Mungu basi karibuni tena sana mje kunisapoti”. Alimaza ivo.

Waigizaji wanaelewa sasa nini maana ya uzinduzi na hio ni alama kabisa ya maendeleo katika game yao kikubwa tu wajuwe kwamba wanatakiwa wajifunze kitu cha kualika watangazaji waweze kuwa sapoti ili waweze kufika.

Must Read

Kigali yasubijwe muri Gumamu rugo ( Lockdown )

0
  Guhera kuri uyu wa kabiri igenekerezo rya 19/1, Kigali yose yasubiye kandi muri Guma mu rugo, intandaro n’ibitigiri bibandanya biba vyinshi vy’abagwaye COVID-19 bibandanya...