homepageIndundi CinemaMoviesswahili

Kisuba Charles atowa sababu za kuanzisha company yake binafsi

Kijana Kisuba Charles maarufu kama Charles pia ni kijana anaendele kujituma kwa hali ya juu nchini Burundi nakupambania haki ya sanaa ya maigizo na ameweza kutowa sababu kubwa iliyo mpelekea hadi anaanzisha Company yake iitwayo KISUBA FILMS COMPANY kwa lengo la kutafuta maendeleo, ila aliulizwa ni lipi lengo lake, Kisuba Amesema :

“Mimi nimeanza sanaa ya Filamu toka zamani sana na niliendelea kujiunga ndani ya Group nyingi sana hadi nikafunguwa Group langu mwenyewe nimekaa na sikuona msaada wowote basi hadi mimi kufikia kiwango nikaanzisha Company yangu ili nianze kutafuta misaada mbali mbali yakuweza kutimiza malengo yangu pia naamini nitafikia maana ukitazama kwa sasa nimekuja na mabadiliko pia washabiki wangu wajuwe kuwa mimi siyo mcheza filamu tu maana ata Comedy pia mimi navunja mbavu za watu sasa niseme kwamba malengo ya kufunguwa Company yangu binafsi nikuitaji kuwarizisha mashabiki wangu kwa kila hali na kwasasa tayari kuna Comedy nimetengeneza mda simrefu nitaanza kuachia pia wajiandae kupokea ShortFilm za akili ambazo zitakuwa na mafunzo makubwa sana kwenye jamii kimoja mashabiki zangu waniunge mkono maana bila wao mimi sitofika”. Alimaliza Charles.

Kujituma na kujielewa ni mwanzo wa mafanikio tunamtakia kila lakheri bwana Kisuba Charles katika mambo yake

What's your reaction?

Related Posts

1 of 191