BurundihomepageIndundi CinemaMoviesswahili

Pamella : Filamu Burundi tatizo letu sote hatuna umoja

Msanii wa filamu nchini Burundi maarufu kama Pamy Love ni dada mwenye kujituma na kutafuta maendeleo ya filamu nchini Burundi uku akiwa mwenye kupambania Tasnia ya Filamu nchini Burundi. Basi baada yakuonekana kwenye Cover ya Filamu iitwayo IRONDO, Indundi Tv iliweze kumuitisha na kumuuliza baadhi ya maswali kutokana na kazi hio basi alijibu :

 “Kwanza nashukuru sana kwa kuniitisha apa indundi Tv maana nilikuwa naona wasanii wengine wakialikwa apa ila kitu niseme tu kwa ufupi kuhusu filamu ya IRONDO Mimi nimeitwa tu na kushirikishwa na sio kwa mengine bali nashukuru Myngu kutokana na nafasi niliyo pewa na Script zangu kweli ninezitendea haki na nikajiona kwamba ni moja ya maendeleo yangu nakujiona kwamba nitafika tu siku kwa siku,na kitu kimoja niwakaribishe sana watu kwenye uzinduzi uho wasikosi kuja kwa kweli waweze kushuudia Wasanii wa filamu wanavyo tumika na mashabiki waache fikra zakusema kwamba warundi hatuwezi sisi tunaweza na tunacho kosa nisapoti”.

Kabisa Burundi imeanza kuja na utofauti mkubwa itakapo fikia mwaka 2020 mabadiliko kwenye Sanaa yatakuw tena makubwa sana,Mungu awatangulie kwa kila hatuwa mtakayo ipiga na Indundi Tv ipo nyuma yenu.

What's your reaction?

Related Posts

1 of 536