homepageIndundi CinemaMoviesswahili

Muigizaji Ibrahim anakuja na filamu mpya iitwao “Irondo”

Msanii wa filamu za kiswahili nchini Burundi Ibrahim Ismail kwa kasi yakazi anazo zifanya zenye kueleweka siku baada ya siku na kuzidi kufuraisha washabiki wake, pia kwa kuweza kutengeneza filamu nyingi nchini hadi nje ya nchi na kutambulisha nchi yake kimataifa kupitia wasanii wengi wa nje pia ni msanii mwenye heshima yake kubwa kutokana na kazi yake.

Baada ya hapo tunazidi kuona mitandaoni akipost Cover ya uzinduzi wa filamu basi Indundi tv tumemtembelea na majibu aliyo towa ndio haya :

“Kusema ukweli tasnia ya filamu kwa sasa imeanza kubadilika na wale wanao ifanya hii kazi kuendelea na sisi waigizaji ila kubwa zaidi tunaitaji ushirikiano mkubwa wa watu wenye kutusapoti maana sisi bila wao ni bure kweli kweli ndio maana tunaitaji watusaidie kwa ilo. Pia kuhusu filamu yangu kama nilivyo ahidi mashabiki wangu kwamba nitawatolea kazi mpya kwa sasa mda umewadia now nataka kuachia filamu yangu niliyo icheza inatwa IRONDO na uzinduzi nitaufanya tarehe 13/12/2019 sehemu ni CAPE TOWN BEACH nakiingilio itakuwa elfu kumi (10.000Fbu). Kwa sananaitaji mashabiki wangu wajitokeze kwa wingi sana na waje washuudie makubwa na mafunzo pia niliyo yatowa kwa jamii, neno moja ni kwamba nawapenda sana“.

Ibrahimi Ismail maarufu kama Icu kila mda anazidi kufanya kazi yake kwa kujituma na kuleta mabadiliko, mashabiki wa Buja movie toweni sapoti kwake.

What's your reaction?

Related Posts

1 of 185