5.5 C
New York
Thursday, October 28, 2021
HomehomepageNizigama Nipo anakuja na filamu mpya iitwayo "Kajembe"

Nizigama Nipo anakuja na filamu mpya iitwayo “Kajembe”

Muigizaji nguli wa Filamu nchini Burundi Nizigama Nipo maarufu nwa jina la Nipo Star kwa kazi anazo zidi kufanya siku baada ya siku na kuonesha ushujaa kwenye Tasnia ya Filamu nchini, baada ya kijana huu kutengeneza Filamu ya KURUBONE iliyotembea zaidi na baada yakujichukulia umaarufu akaweza kuachia RUREBEYA ambayo hadi kwenye Television ya taifa kumuonesha zaidi ya mara 4 imekuwa kuonesha nguvu sana kwenye game basi baada tena yakuona Cover ya filamu yake mpya Indundi tumemuuliza kuhusu iyo kazi na amesema

Nipo Star : “Mimi najuwa kwanini naenda ivi moja kubwa ni kwamba iyi Tasnia yetu inaitaji kazi siyo kukaa kimya maana ukimya mwingi wapoteza vitu vingi ndio maana baada yakuachia RUREBEYA nimeacha mda mwa mashabiki wangu waone ila baada yakuona mda sasa nimeamuwa kutemgeneza SERIES iitwayo KAJEMBE pia naamini kama kazi hii ni nzuri sana na itakuja kufuraisha mashabiki wangu tu kwa sana pia ninacho kishukuru nikuona umoja wa wasanii unaendelea kati yetu kila mda na kila mara kumbe nashukuru sana kwa upendo wa wasanii pia na kwa upendo wa mashabiki wangu wote kweli Mungu awabariki na mimi nitajitaidi kufanya kazi vizuri zakuwarizisha”. Alimaliza Nipo

Mungu azidi kuwabariki sana wasanii wa Burundi kwa kuzidi kutafuta maendeleo.

- Advertisment -

Must Read

SAT-B ngo yasabwe gukora arekane n’abavuga gusa

0
Abantu bahanuye Sat-b gukora gusumba kwishinga abavuga, ivyo bikaba bishikirijwe ku rubuga rwiwe Aho yariko amenyesha abantu ko Imana ariyo yamukuye mu bworo. uwo muririmvyi...