homepageIndundi CinemaMoviesswahili

Muigizaji wa Filamu nchini Burundi Euphreim Deutsch na kazi mpya

Muigizaji wa filamu MTU NI UTU NA SIKITU Mr Euphreim Deutsch ni kijana anaejituma sana kwa kazi hapa nchini kwetu na pia anakuja na filamu yake mpya atayo kuja kuachia mda sio mrefu na ameweza kusema kwamba filamu hio ataizinduwa tarehe 19/12/2019 na anaalika wasanii wote wafike ili kuja kumsapoti.

Na Indundi Tv ilipo muuliza story yake inaongelea nini haswa alitowa majibu Euphreim : Story “Mtu ni utu na si kitu”.

Deutsch ni kijana msomi sawasawa na elimu yake aliyojaliwa na Mungu kuisoma ila alikua hajafaanikiwa kuipata kazi na ndo maana alikua anaishi kwakuunga unga na ilifikiya kipindi alifanya ajali nakuvunjika mguu wake wa kushoto kuna marafiki walikuja kumjuliya hali bila kujali chkchote, na kunawengine walikuja wakisema kua hawawezi kumjuliya hali huku wakidai kuwa hawana cakumbebeya kama mgonjwa huku wanasahau kua Mtu ni utu na si kitu. Kwakua mgonjwa hayadumu, Deutsch alipona nakurudi kujichanganya ili mradi aweke mkono kinywani, alifanya mpaka kazi zandani, kipindi kimoja alifiya mvita yawashenzi nakufanya mapenzi na mtoto kipenzi wa boss wake ndipo hapo aliungiwa njama yakufukuzwa kwakesi bandiya yakubaka. Ningependa. Kwenye familiya hio kulikuwemo Mama na watoto wake wakike wawili Lynda na Belinda, mama aliwapenda sana alifanya mapenzi na Deutsch ni Belinda na alie msemea Deutsch uwongo wakubakwa ni Lynda ndipohapo Deutsch alifukuzwa, kwakua halikua mpambanaji hatakama riziki haivutwi kwa kamba, Deutsch aliendelea kutafuta kwakua nilazima huku akiamini kua iko siku atapata na kuibuka mshindi.

Toka hapo alikutana na mtu wake wa zamani shuleni aiitwao Bonsoni ao Kwikwi kwajina la utani mmiliki wa Mahedes talents, aliskitishwa saana na maisha anaishi Deutsch alijitolea kumsaidia na kumchukuliya cumba kwakua alijua kua undugu si kufanana bali nikufaana na huku aliendelea kumsaidia na Deutsch alizidi kubadilika nakua sawa kimaisha hata kama haikua kiviile.

Ilifikia siku isioliwa kitu mmiliki wa Mahedes kwakua alimuamini sana Deutsch tangu shuleni alimtuma kusimamiya sherehe sehem na kua Hemsi, huwezi kuamini alicokikuta, nikwaile nyumba aliyofukuzwa kwa kesi ya kubaka, ila alikaza roho meno nakufanya kazi alioagizwa ili asiwezi kumuangusha mtu wake, ile familiya haikutegemea kua anaweza walishanga kisha Deutsch aliwakaribisha Lynda na Belinda waweze kusogea nakujitambulisha mbele za watu Lynda alianza nakujilaumu nakumtaka Deutsch msamaha nakumwambia kua ile ilikua njama bandia na alie itunga ni dada yake huku akimaliza nakumuomba Deutsch waweze kuanza safari mpya. Belinda hapo hapo alipoteza fahamu nakuzimiya. Alipozindukawa aliongea ukweli wote nakusema kua kile kitendo kilimpelekea kua mjamzito familiya ikaduaaaa…..!

MTUNZI : Simbaruhije Euphreim Deutsch.

Kweli nikijana mwenye utunzi mkubwa sana na anazidi kufanya vizuri kwenye tasnia Mungu azidi kumbariki sana.

What's your reaction?

Related Posts

1 of 191